NECTA Yatangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025, Haya hapa

C By Captain
November 5, 2025
NECTA Yatangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025, Haya hapa

Leo, National Examinations Council of Tanzania (NECTA) imetangaza rasmi matokeo ya Primary School Leaving Examination (PSLE) ya wanafunzi wa darasa la saba. Kwa wanafunzi, wazazi na walimu – hii ni hatua muhimu sana kwani matokeo yanaamua pale mwanafunzi atakuwa na nafasi ya kuingia kidato cha kwanza.

Gusa Link hii kupata matokeo yako sasa

https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/psle/psle.htm

 

Chat with us!
Home Blog Talents Jobs Cart Search
ChuoSmart ChuoSmart Notifications

Stay updated with the latest products, courses, and messages by enabling notifications.